PRÉAMBULE;ATTENDU QUE les organisations de jeunesse et de la société civile de la Communauté d’Afrique de l’Estse sont réunies à Goma, en République Démocratique du Congo, du 22 au 24 octobre 2024, pour releverles défis multiformes et explorer les opportunités pertinentes pour la paix et la sécurité dans l’EAC et larégion des Grands Lacs ;RECONNAISSANT […]
TAARIFA YA VIJANA NA ASASI ZA KIRAIA YA GOMA JUU YA AMANINA USALAMA KATIKA EAC NA MAZIWA MAKUU
UTANGULIZI;WAKATI vijana na asasi za kiraia kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana mjini Goma,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kuanzia tarehe 22 hadi 24 Oktoba 2024, ili kushughulikiachangamoto mbalimbali na kuangazia fursa zinazohusu amani na usalama katika ukanda wa EACna Maziwa Makuu;KUTAMBUA umuhimu wa mamlaka ya viongozi vijana, wawakilishi wa asasi za kiraia, wataalamwa amani na […]
THE GOMA YOUTH AND CIVIL SOCIETY COMMUNIQUE ON PEACE ANDSECURITY IN THE EAC AND GREAT LAKES REGIONS
PREAMBLE;WHEREAS the youth and civil society organisations from the East African Community have convened inGoma, Democratic Republic of Congo, from 22nd to 24th October 2024, to address the multifacetedchallenges and explore opportunities pertinent to peace and security in the EAC and the Great Lakes region;ACKNOWLEDGING the indispensable mandate of young leaders, civil society representatives, peace […]